Mwenyekiti
wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe akihutubia maelfu ya wakazi wa Kahama
mjini Kahama mkoa wa Shinyanga jioni hii.Kiongozi huyo wa Chadema Taifa
ametoa pole kwa wakazi wa Kahama waliopatwa na maafa ya mvua ya ajabu
iliyoua watu 46 na kujeruhi zaidi ya 90 hivi karibuni,ambapo chama hicho
kimetoa shilingi milioni 10 kuwafariji wahanga wa Mvua wa Mwakata
Kahama.Mbowe pia amezungumzia mambo mbali mbali ya kitaifa likiwemo
suala la daftari la kudumu la wapiga kura na katiba inayopendekezwa
 |
| -FAIDI PICHA NYINGINE HAPO CHINI |
Post a Comment