Waziri
wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu, akiwahutubia wanafunzi wenzake
waliosoma katika shule ya Ilboru ya Arusha katika chakula cha usiku
kilichoandaliwa rasmi kuchangia ukarabati wa majengo cha shule hiyo .
Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wahitimu wa shule hiyo akitoa mchango wake nini kifanyike ili ukarabati wa nguvu ufanyike shuleni hapo.
Wanajumuiya
ya wanafunzi waliosoma katika shule ya Ilboru wakimsikiliza Waziri wa
Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, alipokuwa akiwahutubia katika
chakula cha hisani cha kuchangia ukarabati majengo ya shule hiyo
mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Post a Comment