BAADA YA MNYIKA-ZITTO AIFUNIKA MUSOMA-PICHA ZIKO HAPA
Hisia0
Kiongozi
wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe akiwasili kwenye Viwanja vya
Shule mjini Musoma mkoani Mara jana kabla ya kuhutubia mkutano wa
hadhara wa chama.
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe akiwahutubia wananchi wa Musoma kwenye Viwanja vya Shule mkoani Mara jana.
Post a Comment