Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe,
akihutubia mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Lagangabilili Wilaya ya
Itilima mkoani Simiyu juzi.
Mamia
ya wananchi wa Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, wakimshangilia
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
(hayupo pichani), katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja
wa Shule ya Sekondari Lagangabilili wilayani humo juzi. Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe,
akizungumza na halaiki ya vijana wa chama hicho muda mfupi baada ya
kuifunga kambi ya mafunzo ya vijana hao iliyofanyika Kijiji cha
Lagangabilili Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu juzi.
Mamia
ya wananchi wa Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, wakimshangilia
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
(hayupo pichani), katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja
wa Shule ya Sekondari Lagangabilili wilayani humo juzi.
Wazee
wa kabila la wasukuma wakimkabidhi zana za asili Mwenyekiti wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ili yeye na chama
chake aweze kutawala nchi. Mbowe alisimikwa na kupewa zana za kitemi za
kabila hilo na kuitwa jina la Mayego kabla ya kuanza kuhutubia mkutano
wa hadhara uliofanyika kwenye Kijiji cha Lagangabilili wilayani Itilima
mkoani Simiyu juzi.
Wazee
wa kabila la wasukuma wakimuombea kwa Mwenyezi Mungu, Mwenyekiti wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ili yeye na
chama chake aweze kutawala nchi. Mbowe alisimikwa na kupewa zana za
kitemi za kabila hilo na kuitwa jina la Mayego kabla ya kuanza kuhutubia
mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Kijiji cha Lagangabilili wilayani
Itilima mkoani Simiyu juzi.
Post a Comment