Mwigizaji Wastara
leo ameandika maneno zaidi ya 100 na kuambatanisha na picha kuthibitisha
kuhusu ajali aliyoipata japo hajaandika kwa undani zaidi kuhusu ajali
yenyewe.
Wastara baada ya kuweka hii picha haya ndio maelezo aliyoyatoa :
"DUA ZENU MUHIMU SANA KWA MBAO MNAONIPENDA NA MSIONIPENDA……hali hii imenichosha sana ya matukio ya ajali kila mara natamani kuwa na amani na maisha yangu couz mungu ana sababu kuniacha niendelee kupumua mpaka leo

"Ila
kwa wanaochukia kuona napumua wanatamani nizikwe hata mzima ila mtambue
nina watoto watatu wananitegemea kwa kila kitu sometime mnasema
nasikitika sana ni kweli sababu mi sio nabii nikihesabu hii ni ajali ya
ya 9 sasa tena ni mbaya sana za kufa kabsa ila labda nimo kwa wale
wanaopta ajali kipindi hiki japo kwangu ni too much,, ni jana na leo
napumua alhamdulilah duwa zenu niombeni jamani huyu jinamizi akae mbali
nami daah too much"

Post a Comment