TAARIFA KUTOKA REDIO YARAT FM YA SOMALIA LEO SAA mbili
asubuhi kwenye kipindi cha MAKHAR TWALLIB:
Mkuu Wa kikundi cha AL shabab Leo asubuhi wakati akihojiwa
juu ya taarifa zilizoenea kwamba wana mpango Wa kuvamia Tanzania amesema haya
yafuatayo.
Kamwe hawajawahi kufikiria kushambulia Tanzania Kwa sababu
hawana sababu ya kufanya hivo!
Amesema kwamba mbali ya kuzingatia kuwa
Tanzania kuna
waislam wengi Bali pia wanajua na kutambua msaada Wa mwalim Julius kambarage
nyerere mwaka 1995 alipotoa msaada Wa tani 500000 za mahindi kipindi nchi hiyo
ina janga LA njaa.Hivyo hawawezi kulipa unyama chuo Kwa marehemu baba Wa taifa.
Pia kiongozi huyo aliongeza kuwa Tanzania haijapeleka jeshi
lake somalia yenyewe nchi kama nchi tofauti na Kenya na Uganda. Wanajeshi
wachache watanzania walioko somalia ni katika jeshi LA AU na sio Kwa amri ya
Tanzania.
Kiongozi huyo pia katoa pole katika muda Wa siku mbili ambao
watanzania hususani wanachuo waliokuwa katika hali ya sintofahamu na pia vyombo
vya usalama ambavyo vililazimika kuimarisha ulinzi katika sehemu nyeti mbali
mbali.
Kiongozi huyo kamaliza Kwa kusema kwamba wao wanazingatia
msemo Wa Quran kwamba,"Fight those who fight you,spare those who don't
fight you'
Post a Comment