Watanzania 18 Warejea Nyumbani Kutoka Yemen Ambako Hakukaliki Kutokana Na Vita


Balozi wa Tanzania nchini Oman Mh. Ali Ahmed Saleh (aliyebeba mtoto) akiwa na baadhi ya kundi la Watanzania 18 waliookolewa kutoka Yemen ambako hakukaliki kutokana na vita.
 
Hapa wananchi hao  wapo  katika uwanja wa ndege wa Muscat wakiwa njiani kurejeshwa nyumbani.
Sehemu ya wananchi hao wakijiandaa kuondoka Muscat, Oman, kurejea nyumbani

Post a Comment

Previous Post Next Post