Jumuiya ya vijana wasio na ajira yazinduliwa Zanzibar

Mratibu wa Jumuiya ya Vijana wasio na ajira Tanzania Nd. Ussi Said Suleiman akitoa maelezo kwa Baadhi ya Vijana wasio na ajira waliohudhuria katika Mkutano wa kuitambulisha Jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Water front Hall Raha leo Mjini Zanzibar.
02
Baadhi ya Vijana waliohudhuria katika Mkutano wa kuitambulisha Jumuiya mpya ya Vijana wasio na ajira Tanzania, wakimsikiliza Mratibu wa Jumuiya hiyo Nd. Ussi Said Suleiman (hayupo pichani).
03
Mmoja wa Vijana wasio na ajira Zaituni Haji Mdigo  akiuliza swali katika Mkutano huo.(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

Post a Comment

Previous Post Next Post