Picha:Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi -CUF Maalim Seif Shariff Hamad Akabidhiwa Fomu Rasmi za Kuwania Nafasi ya Urais wa Zanzibar Kwa Mara Nyingine Kupitia Chama Cha Wananchi -CUF

Hapa ni wakati maalim Seif, akiongozana na wapambe wake kuelekea kuchukua fomu.
Maalim Seif, akisaini katika kitabu kuashiria kukabidhiwa fomu.
Makamau wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif, akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya urais wa Zamzibar kwa mara nyingine tena, wakati alipowasili kwenye ofisi za Chama hicho, mjini Zanzibar leo
Maalim Seif, akithibitisha  fomu hiyo. aliyokabidhiwa kwa wanachama wa Cuf baada ya kukabidhiwa.
Maalim Seif, akionyesha fomu aliyokabidhiwa kwa wanachama wa Cuf baada ya kukabidhiwa

Post a Comment

Previous Post Next Post