Mvua zimenyesha Dar, story kubwa kwenye
TV, Radio, headlines za Magazetini vyote vimeangalia hii ishu.. athari
ni kubwa, wao waliopoteza mali zao, nyumba zimeingia maji nyingine
zimebomoka.. barabara zimeharibika, mpaka leo May 11 2015 bado Dar mvua
inanyesha na ukatika.
Nimepita kwenye blog ya issamichuzi.blogspot.com
na kukutana na hii ripoti kuhusu idadi ya watu waliofariki kutokana na
mafuriko Dar, ambapo kwa ripoti ya kwanza kutolewa ilionesha watu 8
wamefariki.
Ripoti hiyo imetolewa na Kamanda Suleiman Kova ambapo amesema kadri mvua zinavyozidi kupungua na athari za mvua hizo ndio zinazidi kugundulika zaidi.
![DSC_4715 (1)](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/05/DSC_4715-1.jpg?resize=463%2C310)
Post a Comment