Tajiri
wa Chelsea Roman Abramovich akishindwa kujizuia kushangilia ubingwa wa timu
yake uliokuja baada ya kuichana Crystal Palace 1-0 kwenye uwanja wa Stamford
Bridge. Huu unakuwa ni ubingwa wa nne kwa Abramovich tangu alipoinunua Chelsea
mwaka 2003.
Post a Comment