Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ambaye hivi karibuni alipata mtoto
aitwaye ‘Cookie’ amesema kama kuna mwanamke ambaye ana cheti cha ndoa
na Moses Iyobo ajitokeze la sivyo hawezi kumuacha.
“Kuna watu wanapenda sana kuongea, sasa mimi nasema kama kuna mtu ambaye ana cheti cha ndoa aliyofunga na Iyobo aje tu kisha mimi nitamuachia, la sivyo siwezi kumuacha,” alisema Aunt.
Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel.
Akizungumza hivi karibuni, Aunt alisema alipokuwa mjamzito
amekuwa akipewa vitisho vingi ikiwa ni pamoja na mwanamke kudai ameporwa
mumewe huyo.“Kuna watu wanapenda sana kuongea, sasa mimi nasema kama kuna mtu ambaye ana cheti cha ndoa aliyofunga na Iyobo aje tu kisha mimi nitamuachia, la sivyo siwezi kumuacha,” alisema Aunt.
Post a Comment