YUSUF Godfrey Willard Mlela, muigizaji nyota wa
filamu Bongo, alipata mtoto kwa bahati mbaya baada ya ‘kuuza mechi’ kwa
msichana ambaye hakuwa na malengo naye kimaisha, lakini amelazimika
kumhudumia kijana wake kwa kila kitu muhimu.
Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, alisema alikutana na
msichana huyo ambaye alikataa kumtaja jina kama rafiki wa kawaida,
lakini akajikuta akishiriki naye bila kinga na siku hiyo hiyo akapata
ujauzito ambao pia alishindwa kumshinikiza kuutoa kwa vile anatambua ni
kitu kibaya.
“Ilikuwa ni bahati mbaya, unajua mwanamke wa kumuoa ni yule ambaye mnazungumza na kupanga baada ya kujuana vizuri tabia.
Post a Comment