
Nature akiweka maiki vizuri ili akamue ipasavyo.

Mashabiki wakimshangilia Nature baada ya kupanda jukwaani.

.…Akikamua kama kawaida yake.(P.T)

.…Ngoma inaendelea.

Profesa J akiwapa mashabiki kitu walichotaka.

…Akiwaimbisha mashabiki.

....Profesa J akizidi kuzikonga nyoyo za mashabiki.

Snura (katikati) akiwaongoza wanenguaji wake.

Mmoja wa wanenguaji akionyesha machejo.

...Miondoko ya kupagawisha mashabiki ikiendelea.

Shetta akitoa burudani.

…Burudani zikiwa zimepamba moto Dar Live.

DJ Majay akifanya vitu vyake kwenye mashine
SHOO ya
kutimiza kutimiza miaka 16 katika muziki kwa msanii Juma Kassim Kiroboto
‘Sir Nature’ na kituo cha Utangazaji cha EFM kutimiza mwaka mmoja
iliyofanyika ndani ya ukumbi wa Burudani wa Taifa wa Dar Live,
Mbagala-Zakhem, lilikuwa moto wa kuotea mbali.
Katika
onyesho hilo Nature, mbali ya kutoa burudani ya nguvu, alipigwa tafu na
Snura, Profesa J. Makomandoo, Shetta na Msaga Sumu.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY/GPL)
Post a Comment