Wema Sepetu na Nangari.
Mwandishi wetu
IMEBAINIKA!
Kufuatia tabia yake ya kubadili wanaume, mrembo asiyeishiwa matukio
Bongo, Wema Isaac Sepetu imefahamika kuwa chanzo cha yote ni kusumbuliwa
na ugonjwa ujulikanao kitaalamu kwa jina la Sex Maniac.
Wema Sepetu na Diamond.
Akizungumza
na gazeti hili, mtaalam wa masuala ya utabiri na nyota, Maalim Hassan
Yahya alisema kwamba suala la Wema kubadili wanaume kila mara si kulogwa
bali anasumbuliwa na ugonjwa huo ambao mtu akiwa nao kila wakati
anawaza mapenzi na raha yake ni kufanya tendo la ndoa.
Wema Sepetu na Chaz Baba.
Maalim
alidadavua kwamba, ugonjwa huo hautibiwa na dawa za hospitali kama
magonjwa mengine ila kama mtu anahitaji kuondokana na tatizo hilo
anatakiwa kumtafuta mwanasaikolojia ambaye mara kwa mara atakuwa
anamjenga kwa ushauri hadi atakapoona amekuwa sawa kwa kuacha kuwaza
mambo hayo.
Wema Sepetu na Steven Kanumba.
“Watu
wanashindwa kuelewa, unakuta mtu anakuwa na wanaume wengi, anabadili
kila mara alafu watu wanamsema bila kujua kwamba ni ugonjwa ambao mtu
anajikuta akipenda ngono kila wakati na kwenye mawazo yake anatawaliwa
na kutamani tendo la ndoa tu.
Wema Sepetu na Bob Juniour.
“Lakini wapo wengine wanabadili mabwana maarufu ili nao wawe maarufu,” alisema Maalim.
Wema Sepetu na Jumbe.
Wema
aliwahi kutoka kimapenzi na wanaume tofauti akiwemo, Herry Samir ‘Mr.
Blue’, Khaleed Mohamed ‘TID’, marehemu Steven Kanumba, Yusuf Jumbe,
Tuesday Kihangala ‘Mr Chuz’, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’, Nasibu Abdul
‘Diamond Platnumz’, CK na Nagari Kombo.
Jitihada
za kumpata Wema ili kuzungumzia hali hiyo ziligonga mwamba baada ya
simu yake kutokuwa hewani na kukosekana nyumbani kwake hivyo jitihada
zinaendelea
Post a Comment