KWENU mastaa wawili wenye ‘taito’ ya juu
ndani ya Bongo, Wema Isaack Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond’,
mambo vipi? Mko poa?
Binafsi mimi ni mzima wa afya, namshukuru
Mungu, naendelea na majukumu yangu kama kawaida. Jukumu nililonalo
kupitia ukurasa huu ni kuwakumbuka kupitia barua hii.
Post a Comment