Wakati akitangaza Kujiunga na Chama cha Chedema leo hii mmoja wa
waandishi ameuliza swali kwanini yupo karibu sana na matajiri ..Lowassa
amejibu swali hilo kwa kusema kuwa anachukia sana umaskini ndio maana
yupo karibu nao na nia yake ni kufanya watanzania wote wawe matajiri
kama kina Mengi na Bhakresa.....
CCM niliyoiona Dodoma si kile chama nilichokulia. CCM imepotoka na imepoteza dira. Nasema sasa basi.
— Edward Lowassa (@EdwardLowassa) July 28, 2015
Post a Comment