Mh. Edward Lowassa akiwasili makao makuu
ya Chadema Kinondoni jijini Dar es salaam leo Alhamisi 30 Julai 2015,
Kwa ajili ya kuchukua fomu #JIANDIKISHE4VOTE2015
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman
Mbowe (Wa kwanza kushoto) akizungumza na Edward Lowassa na mke wake
Regina Lowassa (wa kwanza kulia) alipowasili katika ofisi za Chadema
makao makuu kwa ajili ya kuchukua fomu, (Wa pili kushoto) ni naibu
katibu mkuu Zanzibar Salum Mwalimu
Mhe. Edward Lowassa (kushoto) na akiwa na
mke wake Regina Lowassa wakisaini datari la wageni katika ofisi za
Chadema makao makuu jijini Dar es salaam, Leo Alhamisi 30 Julai 2015
Mwanasheria mkuu wa Chadema Mhe. Tundu
Lissu akiongea katika ghafla fupi ya Mhe.Edward Lowassa akichukua fomu
katika ofisi za Chadema makao makuu jijini Dar e salaam
Post a Comment