Timu
ya Taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania imepangwa kucheza na Malawi
katika mechi za kufuzu kwenye kombe la dunia za mwaka 2018 ambazo
zitafanyika nchini Urusi
Katika
kutafuta washindi watakaofaulu kucheza mashindano hayo ya Kombe la
Dunia kwa Mwaka 2018, Timu 26 kutoka bara la Afrika zitamenyana kwa
mchezo wa nyumbani na Ugenini katika hatua ya Kwanza. Baada ya mzunguko
huo wa kwanza kumalizika na kupatikana washindi 13, washindi watajiunga
na timu zingine 27 katika mzunguko wa pili ilikutafuta timu 20 zitakazo
cheza mzunguko wa tatu.
Timu zitakazo Shiriki Mzunguko wa Kwanza ni kama:
SOMALIA Vs NIGER
SOUTH SUDAN Vs MAURITANIA
GAMBIA Vs NAMIBIA
SAO TOME E PRINCEPE Vs ETHIOPIA
CHAD Vs SEIRRA LIONE
COMOROS Vs LESOTHO
DJBOUTI Vs SWAZILAND
ERITREA Vs BOTSWANA
SEYCHELLIS Vs BURUNDI
LIBERIA Vs GUNIEA BISSAU
CENTRAL AFRICAN REPUBLIC Vs MADAGASCA
MAURITIUS Vs KENYA
TANZANIA Vs MALAWI
Post a Comment