Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Vyombo
vya Ulinzi na Usalama vinaandaa sherehe ya kumuaga Amiri Jeshi Mkuu
tarehe 01 Septemba 2015 kwa gwaride rasmi litakalofanyika katika viwanja
vya Uhuru, kuanzia saa 2.00 Asubuhi hadi saa 6.30 mchana.
Waandishi wa Habari mnakaribishwa katika uwanja wa Taifa kwa ajili ya Coverage ya tukio hilo la kihistoria.
Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Mahusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania.
Kwa Mawasiliano zaidi: 0756 - 342279
0783- 309963
Post a Comment