Baada ya wiki ngumu Stamford Bridge, Chelsea wakianza vibaya huku pia
Jose Mourinho akimuondoa katika benchi, daktari Eva Carneiro kwa madai
ya kupoteza muda kwa kumtibia Eden Hazard, sasa Ex-boyfriend wa daktari
huyo amefunguka na kusema yaliyojiri.
Post a Comment