Katibu wa Umoja wa
Serikali za Wanafunzi Zanzibar USEWAZA, Salum Humoud (katikati) akitoa tamko la
Umoja huo kuiomba Wizara ya Elimu kuhusu kupiga marufuku disko siku za siku
kuu, kulia Ofisa Elimu kutoka Wizara ya Elimu, Mwl. Suleiman Takdir na kushoto
Mtoa mada wa USEWAZA, Shemsa Haji Muhammed.
Viongozi wa Serikali
za wanafunzi kutoka skuli mbalimbali wakimsikiliza katibu wa USEWAZA (hayupo
pichani) wakati akitoa tamko la Umoja huo kuiomba Wizara ya Elimu kuhusu kupiga
marufuku upigaji disko siku za siku kuu
Post a Comment