Issue ya vifaa vya ‘Kwetu Studio’ kuibiwa, gharama yake vipi? Soudy Brown ana Stori yote..#Uheard




Director wa Kwetu Studio Msafiri ambaye amerekodi ngoma mbalimbali ikiwemo ngoma ya ‘Sielewi’, ngoma za Hemed PHD..amesema wameibiwa vifaa baada ya kuvamiwa wakiwa hotelini, wameiba camera, lens pamoja na compyuta ambavyo gharama ni zaidi ya milioni 15.
Amesema walikua wakitengeneza kipindi kule Kisarawe na walivunja mlango wakati wakiwa kwenye kipindi.
Pia kulikuwa na video ambazo zimepotea ikiwemo ya Hemed, msanii wa Arusha Mbaula pamoja na vipindi vya watu.
Pia kuna kazi za wasanii za siku nyingi ambazo zilikuwa bado hazijachukuliwa.
Msikilize akizungumza na Soudy Brown…

Post a Comment

Previous Post Next Post