Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia CHADEMA, Willfred
Lwakatare, akihutubia wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa AghaKhan,
Mjini Bukoba, Mkoani Kagera leo Septemba 19, 2015.
|
Post a Comment