SAID NKUMBA ARUDI MAZIMA CCM AMKABIDHI KADI YA CHADEMA MAGUFULI


 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Sikonge kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Sikonge Bw. Goerge Joseph Kakunda.
 Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Sikonge, Ndugu Said Nkumba akionyesha kadi yake ya uanachama wa Chadema ambayo aliikabidhi kwa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli na kuahidi kushirikiana na wana CCM katika kuhakikisha ushindi ni wa kishindo.
 Said Nkumba (kulia ) akimnadi mgombea wa ubunge wa jimbo la Sikonge Bw George Joseph Kakunda.
 Wakazi wa Sikonge wakishangilia baada ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Said Nkumba kurejea CCM.
 Wazee wa Sikonge wakisikiliza kwa makini hotuba ya Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Ulyankulu kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
 Umati wa wakazi wa Ulyankulu wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli ambapo aliwaahidi kushughulikia tatizo la wakulima wa tumbaku.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akimkabidhi mgombea ubunge wa jimbo la Ulyankulu  Bw. John Peter Kadutu kitabu cha ilani ya uchaguzi ya CCM cha mwaka 2015-2020.
  Mgombea ubunge wa jimbo la Ulyankulu  Bw. John Peter Kadutu akionyesha juu kitabu cha ilani ya uchaguzi ya CCM cha mwaka 2015-2020 mara baada ya kukabidhiwa na mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwaaga wakazi wa Ulyankulu mara baada ya kumaliza kuwahutubia.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi  na Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa Alhaji Abdallah Bulembo akiwahutubia wakazi wa Kaliua kwenye mkutano wa kampeni za CCM na kuwaambia wananchi hao kuipigia kura CCM kwani wapinzani wamepoteza ajenda. 
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Kaliua Profesa Juma Kapuya.
 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kaliua Profes Juma Kapuya akihutubia wakazi wa kaliua kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kaliua kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Kaliua ambapo aliwaahidi kujenga na kuboresha bara bara, elimu, afya pamoja na kutatua tatizo la maji na bei za Tumbaku.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akipokelewa na Mzee samuel Sitta mara baada ya kuwasili Urambo kwenye mkutano wa kampeni.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiongozana na Mgombea Ubunge Jimbo la Urambo Mama Magareth Sitta pamoja na mumewe Mzee Samuel Sitta.
 Shabiki na mpenzi wa CCM akishangilia ujio wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli.
 Mwakilishi wa Walemavu Ndugu Amon Anastaz Mpanju akihutubia wakazi wa Urambo kwenye mkutano wa kampeni za CCM za kumnadi Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Urambo kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa ataijenga Tanzania mpya yenye maendeleo.

No comments:

Post a Comment