Miss
Tanzania 2014 Lilian Kamanzima akiongea na umati wa watu uliojitokeza
kulisikiliza kundi la Nimestuka, Shinyanga Mjini jana.

Mmoja
kati ya viongozi wa kundi la Nimestuka, Aunt Ezekiel akiongea na
wananchi katika mkutano mkutano uliofanyika Shinyanga Mjini ambapo
walisimama kuhamasisha vijana wenzao kusikiliza sera kwa umakini na
kumuunga mkono Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi, Dk John Magufuli.
Msanii wa vichekesho, Kitale ‘Mkude’, akiwastua wananchi wa Shinyanga katika viwanja vya Buhangija jana.

Inspekta Haroun, `Babu’, akipagawisha wafuasi wa chama tawala waliohudhuria mkutano wa wasanii wanaounda kundi la Nimes’tuka.
Kundi la wasanii wanaomuunga
mkono Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Dk John Pombe
Magufuli jana niliingia mkoani Shinyanga kuhamasisha wananchi umuhimu wa
kusikiliza sera kwa kina na kupima ukweli katika utekelezaji wake.
Kundi hilo linaloundwa na muunganiko wa wasanii wa folamu na muziki, limetomiza siku ya 15 ya ziara zao za Kijiji kwa Kijiji ambapo lengo kuu ni kuwastua vijana wenzao kuacha kufuata mkumbo, na badala yake kusikiliza sera kwa umakini na kupima ukweli wa utekelezwaji wake bila ya kuwa na mihemko ya kidemokrasia.

Post a Comment