Hadii hardname ni msanii anayetokea Tanzania. Akiwa chini ya studio za De Fatality Music kutoka kwa Mesen Selecta.
Nyimbo yake ya kwanza akuachia ni “Stress” ambayo imefanya vizuri Tanzania nzima.
Sasa hivi anatambulisha nyimbo yake mpya inayoitwa SADAKA.
Nyimbo hiyo imejaribu kuonesha Rap ya Tanzania inaweza kuvuka mipaka.
Nyimbo imeandaliwa na Mesen Selecta na video imeongozwa na Joowzey.
Post a Comment