Baadhi
ya walimu wa Mkoa wa Manyara wakishikana mikono kwa lengo la kuonyesha
umoja na mshikamano daima kwenye maadhimisho ya siku ya mwalimu ambapo
kwa mkoa huo zilifanyika mji mdogo wa Mirerani.
Mwenyekiti
wa chama cha walimu nchini (CWT) Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Abraham
Kisimbi akizungumza kwenye sherehe za siku ya mwalimu ambapo kwa mkoa huo zilifanyika mji mdogo wa Mirerani.
Walimu
wa Mkoa wa Manyara, wakifuatilia hotuba ya Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro,
Mahamoud Kambona wakati akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya
mwalimu ambayo kimkoa ilifanyika mji mdogo wa Mirerani.
Mwenyekiti
wa
chama cha walimu nchini (CWT) Mkoani Manyara, Qambos Sulle akizungumza
kwenye sherehe za siku ya mwalimu ambapo kwa mkoa huo zilifanyika mji
mdogo wa Mirerani.
Mwenyekiti
wa chama cha walimu nchini (CWT) Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Abraham
Kisimbi akizungumza kwenye sherehe za siku ya mwalimu ambapo kwa mkoa huo zilifanyika mji mdogo wa Mirerani.
Post a Comment