Video: Koffi Olomide alivyotumbuiza live Dar es salaam na ‘selfie’ Dec 8 2015.
Hisia0
December 8 2015 mwimbaji staa Koffi Olomide kutoka Congo DRC alifanya show ya selfie 16 kusherehekea kuzaliwa kwa CloudsFMEscape One Mikocheni Dar es salaam Tanzania, miongoni mwa nyimbo alizoimba ni pamoja na hit song ya ‘selfie’ tazama hii video hapa chini
Post a Comment