Video ya Harmonize na mashabiki kwenye stage Dodoma January 1 2016



Mwimbaji Harmonize wa single ya ‘Aiyola‘ akiwa ni mwimbaji wa kwanza kutambulishwa kwenye lebo ya WCB inayomilikiwa na mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz, January 1 2016 alifanya show yake ya pili toka ameitoa Aiyola, kila kitu nimekuwekea kwenye hii video hapa chini.

Post a Comment

Previous Post Next Post