DIAMOND PLATNUMZ AKUTANA NA AWILO LONGOMBA HUKO PARIS

 Hakuna shaka kuwa ngoma ya Awilo Longomba na Diamond Platnumz soon itasikika kwenye spika zako.

Diamond, Zari, Awilo Longomba na Zari wakiwa Paris, Ufaransa
Wawili hao wamekutana Paris, Ufaransa na Awilo hakuchelewa kuonesha furaha yake kukutana na familia ya Chibu, yaani Zari na mtoto wao Tiffah. Kuna kila dalili kuwa kutano lao lilikuwa ni la mazungumzo ya collabo.

No comments:

Post a Comment