SIMIYU











Ajali hiyo haikuua abilia hata mmoja, na majeruhi wote walifikishwa katika Hospitari ya Wilaya ya Bariadi



 XXXXXXXXXXXXXX 

Shughuli za kimila zilizofanyika mnamo tarehe 30/31/05/2012 katika mji wa Bariadi
Mgeni wa Maadhimisho hayo Mh. Cheyo akiongea na wananchi walioudhulia katika maonyesho hayo
Kikundi cha waonyesha Show maarufu kama Mbina kikitoa burudani za kimila
 
Wananchi walioudhuliakatika maonyesho hayo yanayofanyika kila mwaka mwezi na tarehe 30/05
Shughuli hizi za kimila maarufu kama MBINA zinafanyika mara mbili kwa mwaka kutokana na kudhaminiwa na watu wawili tofauti, kuna inayofanyika  tarehe 30/05 ambayo mgeni rasmi ni Mh. CHEYO na ile inayofanyika kila tarehe 08/08 mgeni rasmi ni Mh. CHENGE

Post a Comment