Barcelona inataka kumchukua kinda wa Manchester City, KOCHA WA England anasema..

http://images.teamtalk.com/11/09/640/Joan-Angel-Roman-Manchester-City-Profile_2655121.jpgKLABU ya Barcelona inataka kumchukua kinda wa Manchester City, Joan Angel Roman. Angel Roman, mwenye umri wa miaka 19, alikwenda City miaka mitatu iliyopita akitokea Espanyol, lakini hajatimiza malengo yake.


http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/b/bf/HappyHodgson.JPG/250px-HappyHodgson.JPGKOCHA wa England, Roy Hodgson amesema hakukuwa na cha ziada cha kufanya wakati Three Lions wakitolewa kwa mara ya tano mfululizo kwa mikwaju ya penalti.

Post a Comment

Previous Post Next Post