Chelsea yamgeukia winga wa Bayer Leverkusen Andre Schurrle

http://npwsport.files.wordpress.com/2011/05/1520686_w2.jpgKLABU ya Chelsea imemgeukia winga wa Bayer Leverkusen, Andre Schurrle, mwenye umri wa miaka 21, baada ya klabu ya Wigan kuvunja mazungumzo ya kumuuza Victor Moses.

Ricardo CarvalhoKIUNGO wa Chelsea, Raul Meireles, mwenye umri wa miaka 29, anatakiwa kwa dau la pauni Milioni 8 na klabu ya Serie A, Napoli. 

Post a Comment

أحدث أقدم