Redds
Miss Ubungo 2012, Irine Sizari, akipunga mkono kwa furaha mara baada
ya kutangazwa kuwa mshindi wa shindano hilo na kuwabwaga warembo
wengine 14 usiku huu katika Ukumbi wa Land Mark Hotel jijini Dar es
Salaam.
Redds
Miss Ubungo 2012, Irine Sizari (katikati) akipunga mono baada ya
kuvukwa taji hilo na kupata tiketi ya kushiriki Miss Kinondoni 2012.
Kushoto ni Mshindi wa Pili, Mwantumu Mustafa na kulia ni Mshindi wa
tatu, Antonia Nyaragwinda. Shindano hilo limefanyika Juni 29, 2012
kuamkia Juni 30.
Redds Miss Ubungo 2012, Irine Sizari (katikati) akipunga mono baada ya
kuvukwa taji hilo na kupata tiketi ya kushiriki Miss Kinondoni 2012.
Kutoka Kushoto ni Mshindi wa Tano, Joyce Raphael, Mshindi Pili, Mwantumu
Mustafa, , Mshindi wa tatu, Antonia Nyaragwinda na kushoto ni Mshindi
wa nne Wema Mwanga. Shindano hilo limefanyika Juni 29, 2012 kuamkia
Juni 30.
Kamati ya Miss Tanzania na warembo wa mwaka 2011 wakipiga picha na washindi
Jaji Mkuu, Christina Manongi 'Sinta" akisoma majina ya washindi.
Wadau wakifuatilia shindano
Meza kuu iklifuatilia shindano
Vimwana wa Miss Sinza inayotaraji kufanyika July 20.
Wanenguaji wa Kundi la FM Academia wakisakata ngoma za Bendi hiyo.
Picha na Fadher Kidevu(http://mrokim.blogspot.com)
Post a Comment