MAN CITY KUTOA PAUNI MILIONI 52 KWA SILVA KUIKOMOA REAL

MAN CITY KUTOA PAUNI MILIONI 52 KWA SILVA KUIKOMOA REAL

KLABU ya Manchester City iko tayari kujadili mkataba wa pauni Milioni 52 na kiungo wake mshambuliaji, David Silva - ili kupambana na Real Madrid wanaomtaka.
 Habari kamili: Daily Star Sunday 
 KLABU ya Manchester City inamtaka beki wa Kibrazi, Dede, mwenye umri wa miaka 23, katika mkakati wa kuiimarisha safu yao ya ulinzi baada yakocha Roberto Mancini kuamua kuachana na beki wa AC Milan, Thiago Silva.
 Habari kamili: Footylatest.com
XXXX
Luka ModricHATIMAYE Luka Modric, mwenye umri wa miaka 26, ameamua kuondoka Tottenham akacheze Hispania katika La Liga, tena klabu ya Real Madrid. Manchester United na Paris St-Germain nazo zilikuwa zinamtaka Modric, lakini inasemekana kiungo huyo wa Croatia moyo wake unapenda kufanya kazi na Jose Mourinho.
 Habari kamili: Sunday Mirror
 

Post a Comment

أحدث أقدم