MISA YA MAZISHI YA MAREHEMU PETER MWENGUO KUFANYIKA SAA SABA MCHANA KARIMJEE

MISA YA MAZISHI YA MAREHEMU PETER MWENGUO KUFANYIKA SAA SABA MCHANA KARIMJEE


Taarifa zaidi kuhusu Misa ya mazishi  ya aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji mstaafu wa Bodi ya Utalii nchini Tanzania Marehemu Peter Mwenguo itafanyika leo saa saba mchana tarehe 21/06/2012,  katika ukimbi wa Karimjee jijini Dar es salaam, baada ya misa kutakuwa na kutoa heshima za mwisho hapohapo Karimjee na baadaye msafara utaelekea katika makaburi ya Kinondoni kwa mazishi

Post a Comment

أحدث أقدم