Rais Kikwete aifariji familia ya Marehemu Kinyamagoha Dodoma

Rais Kikwete aifariji familia ya Marehemu Kinyamagoha Dodoma

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa Mkuu wa Utawala CCM Makao Makao Makuu Dodoma marehemu Mwangunza  Kinyamagoha nyumbani kwake mjini Dodoma jana.Marehemu Kinyamagoha alifariki hivi karibuni.
Rais Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Kinyamagoha nyumbani kwake mjini Dodoma jana kabla ya kurejea jijini Dar es Salaam(Picha na Freddy Maro)

Post a Comment

Previous Post Next Post