HILDA EDWARD NDIYE MISS DAR INTER COLLEGE 2012, WEMA NA DIAMOND WE ACHA TU!

HILDA EDWARD NDIYE MISS DAR INTER COLLEGE 2012, WEMA NA DIAMOND WE ACHA TU!

Miss Dar Inter College 2012, Hilda Edward akiwa washindi wake wa pili Jamila Hassan kulia na Rose Muchunguzi kushoto, baada ya shindano hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa Makumbusho, katikati ya Jiji la Dar es Salaam usiku huu. 


Totoz za IFM, usizipimie


Guess what! mashuhuda

Hilda akipigana busu moto moto la pongezi na Miss Dar Inter College aliyevua taji Blessing Ngowi

TOP 5; Kutoka kulia Veronica Yole, Sada Suleiman, Rose Muchunguzi, Jamila Hassan na Hilda Edward

DIAMOND PLATINUM;  Nassib Abdul akitumbuiza kwa hisia, kibao Wema Wangu mbele ya jaji Wema Sepetu, ilikuwa tamuuu



INAUMA UCHUNGU; Katikati Jaji Wema akifuatilia kwa hisia zote kibao Wema Wangu wakati Diamond the Platinum anatumbuiza...  Chanzo:- http://bongostaz.blogspot.com/ 

Post a Comment

Previous Post Next Post