Rais Kikwete amkaribisha ikulu Rais wa Saharawi Mhe.Mohamed Abdelaziz

Rais Kikwete amkaribisha ikulu Rais wa Saharawi Mhe.Mohamed Abdelaziz

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimuonesha mgeni wake Rais wa Jamhuri ya  Kiarabu ya Saharawi  Mhe.Mohamed Abdelaziz picha ya waasisi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Hayati Mwalimu Julius Nyerere na  Hayati  Abeid Karume wakibadilishana hati za muungano muda mfupi baada ya Rais Kikwete na mgeni wake kumaliza mazungumzo rasmi  ikulu jijini Dar es Salaam leo.Mhe.Mohamed Abdelaziz  Rais wa Jamhuri ya kiarabu ya Saharawi aliwasili nchini jana jioni kwa ziara ya kikazi ya siku mbili
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Saharawi Mhe.Mohamed Abdelaziz leo asubuhi.(picha na Freddy Maro)

Post a Comment

Previous Post Next Post