R.I.P AIDA MTEI KAMANDA WA UVCCM KIBAHA VIJIJINI

Kamanda wa UVCCM, Kibaha Vijijini mkoa wa Pwani, Aida Mtei (pichani) amefariki dunia. Mipango ya Mazishi inafanyika Nyumbani kwa wazazi wake Mbezi kabla ya Rembow. 

Hisia za Mwananchi Blog inaungana na Ndugu, Jamaa, Marafiki, na Wanachama wote wa Chama cha Mapunduzi Mkoa wa Pwani, Wilaya ya Kibaha na Taifa kwa ujumla kwa Msiba huu mzito.

Post a Comment

أحدث أقدم