STIKA ZENYE NAMBA ZA VITUO VYA PILOSI KUBANDIKWA KWENYE MABASI

STIKA ZENYE NAMBA ZA VITUO VYA PILOSI KUBANDIKWA KWENYE MABASI


 Kamanda Mkuu wa Kikosi Cha Usalama Barabarani akizungumza na Waandishi
wa Habari Mara baada ya kuzindua kampeni ya kubandika stika zenye namba
za simu za vituo mbalimbali ambazo abiria watazitumia kwaajili ya kutoa
taarifa za usalama na matukio ya uvunjifu wa sheria barabarani.
Kampeni hiyo inadhaminiwa na benki ya posta (TPB)



Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Sabasaba Moshingi  akibandika sitika hizo.
Mmoja wa Madereva waliokabidhiwa Stika hizo kwaajili ya kuzibandika kwenye magari
Picha kwa hisani ya Full Shangwe blog

Post a Comment

Previous Post Next Post