IRENE UWOYA WA SASA
UWOYA WA ENZI ZILEEE
Kashkash
za mapenzi na kuyumba kwa hali ya kimaisha vinadaiwa kuwa
sababu kuu zilizomfanya Irene Uwoya akongoroke na kumaliza
mvuto......
Uwoya
ambaye alikuwa ni miongoni mwa mastaa wenye majina makubwa hapa
nchini amejikuta akipoteza umaarufu kila kukicha kwa kipindi cha
mwaka mzima sasa......
Hali
hii ilimkumba baada ya kuivunja ndoa yake na Ndikumana.Maneno ya
marafiki zake na ushauri mbovu ni miongoni mwa vitu vilivyoitafuna
ndoa yake.
Tangu
wakati ule, hali yake ya kimaisha imeyumba na kumfanya Uwoya
apoteza umaarufu hasa ukilinganisha na umaarufu aliokuwa nao kipindi
cha nyuma......
Hata
hivyo kuna tetesi zilizagaa kuwa Uwoya alikuwa akimsaliti Mumewe
kwa kutoka na msanii mwenzie Dude, hali iliyomkera Ndiku na kuamua
kuivunja ndoa hiyo
Nafikiri
huu ni wakati mwafaka kwa Irene Uwoya kujifunza kutokana na
makosa.....Siku zote, usaliti ni adui mkubwa wa ndoa ya
mtu....Hili ni fundisho letu sote
Post a Comment