![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiVqdWPosJ2Gp49j6Phm7je3nPPCXDpZYFwkdegKGgnuGcG1MzVO52Qsy8Q70ncoKdfFSYBfswXDHjrIWrnauq0X5h9dM-sA2YmrdiQC_yv_QSRkjrCKb22H-zLYJcy1ZUTDguI5GRfwCE/s640/wema.jpg)
BEAUTIFUL Onyinye wa Bongo, Wema Isaac Sepetu, hivi karibuni alijikuta akipata wakati mgumu baada ya kukombwa vioo vya gari lake aina ya Toyota Mark X na vibaka wa Moshi, Kilimanjaro.
Tukio hilo limetokea hivi karibuni ndani ya Viwanja vya Chuo cha Ushirika ambapo staa huyo alikuwa amehudhuria uzinduzi wa Tamasha la Serengeti Fiesta 2012
إرسال تعليق