Hizi ni picha za harusi ya Aunt Ezekiel ambazo zimesambaa kwa kasi mtandaoni.......
Mojawapo ya picha hizo,Aunt anaonekana akisaini CHETI cha ndoa kwa mujibu wa taratibu za kiisilamu.......
Mapema mwaka huu,Aunt alivishwa pete ya uchumba na mpenzi wake Sunday Demonte huko Dubai.......
PICHA KAMILI ZINAKUJA
إرسال تعليق