CHIPUKIZI WALIPOIPIGA BANDARI 2-0 LIGI KUU YA GRANDMALT Z'BAR

Kipa wa Chipukizi, Fumu Araza (18) akiruka na beki wake, Seif Hamad kumdhibiti mshambuliaji wa Bandari Saleh Khamis (kulia)
wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Grandmalt Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan jana. Chipukizi walishinda 2-0.


Beki wa Chipukizi, Saleh Khamis (kushoto) akimzuia mshambuliaji wa Bandari, Ismail Seif wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Grandmalt Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan jana. Chipukizi walishinda 2-0.

Mshambuliaji wa Bandari, Ismail Seif (kulia) akijaribu kumtoka mlinzi wa Chipukizi Saleh Khamis wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Grandmalt Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan jana. Chipukizi walishinda 2-0.

Mlinzi wa Bandari, Kassim Hariri (kulia) akipambana na mshambuliaji wa Chipukizi, Faki Sharif wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Grandmalt Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan jana. Chipukizi walishinda 2-0.

Mshambuliaji wa Chipukizi, Faki Sharif (kushoto) na mlinzi wa Bandari, Kassim Hariri wakiwania mpira wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Grandmalt Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan jana. Chipukizi walishinda 2-0. Picha zote na Martin Kabemba

Post a Comment

أحدث أقدم