Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia Pakti ya kifuko cha unga wa Ubuyu
na kusikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Masoko na Mauzo wa kampuni ya
Moringa Consultancy (TZ) Co Ltd, Christina Ngoti, wakati Makamu
alipokuwa akitembelea Mabanda ya Maonyesho baada ya kufungua mkutano wa
kwanza wa Kimataifa wa Kutangaza Utalii kwa Nchi za Bara la Afrika na
Kuhamasisha Utalii Endelevu katika nchi hizo. Mkutano huo umefanyika
leo
Oktoba 15, 2012 jijini Arusha
|
إرسال تعليق