EXCLUSSIVE: SEIF KABELELE AWA MENEJA MPYA WA MWANAMUZIKI WA RNB NCHINI TANZANIA STEVE RnB


Huyu ndie meneja mpya wa Mwanamuziki Steve RnB , anaitwa Seif Kabelele, Kuanzia sasa ndiye atakayesimamia Kazi za Muziki za Msanii Steve RnB.
 Steve RnB, Mwanamuziki aliyetamba kwenye ngoma ya Tabasamu aliyoshirikishwa na Mr Blue.

 Mwanamuziki Kutoka Tanzania katika miondoko ya RnB Steve RnB leo amepata Manager mpya ambaye atakuwa akisimamia kazi zake zinazohusiana na muziki wake. Manager Wake Mpya anaitwa Seif Kabelele.
Chanzo:- lukaza.blog

Post a Comment

أحدث أقدم