HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA SENEGAL, MASHABIKI WALIVYOVAMIA UANJANI

DarSlam
 
Didier Drogba nae akijikinga nyuma ya polisi baada ya mashabiki kuingia uwanjani. 
DarSlam
Yaya Toure akiongoza msafara wa.. wachezaji wenzie waliokuwa wakisindikizwa na polisi kutoka nje ya uwanja baada ya mashabiki wa Senegal kuvamia uwanja baada ya kukasirishwa na maamuzi ya refa kuwapa penati Ivory Coast iliyofungwa na Didier Drgba.
Mawe, vyupa na silaha nyngine zilikuwa zimetawala katika uwanja
Mashabiki wa Senegal wakiwa wameisha moto jukwaani
Kolo Toure akijikinga nyuma ya polisi akisindikizwa kutoka nje ya uwanja

Post a Comment

أحدث أقدم