HIVI NDIVYO MAGARI YA JESHI YALIVYO ONGOZANA KWENDA KARIAKOO KUTULIZA VURUGU ZA WAISLAM!


Hili ni moja ya Gari lililobeba wanajeshi ambao walikua doria wakati waandamaji waripoleta vurugu na kusababisha vurugu na mabomu ya machozi kulindima kwenye baadhi ya maeneo kama vile Kariakoo na Posta.Tuendeleee kuvuta subira...
Msafara wa magari ya JWTZ yakielekea tuliza Vurugu
Yakiwa yanaelekea eneo la Tukio
Picha hii ya Tamko kwa hisani ya Mo Blog

Post a Comment

أحدث أقدم